REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Hatuna kitu kama CUF bara.! CUF yetu ni moja tu.! Huyo profesa msaliti lazima atang'oka tu hata atumikeje!Hizi ni habar za uhakika na sababu yake ni kuwa haujaitishwa na mwenyekiti halali wa chama ambaye ni Prof. Ibrahim Lipumba. Aidha wameenda mbali zaidi na kutaka polisi izuwiye mkutano huu.
Tangazo lenyewe la mkutano huo hili hapa;
The Civic United Front-CUF
Chama cha Wananchi
Wilaya ya Tanga
Taarifa kwa Umma.
Chama cha Wananchi-CUF wilaya ya Tanga, kinawatangazia wanachama wake wote, wapenzi pamoja na mashabiki kuwa kitafanya Mkutano wake Mkuu wa wilaya wa dharura tarehe 29/10/2016.
Agenda:
01.Mgogoro wa Meya Jiji la Tanga.
Mgeni rasmi:
Katibu Mkuu wa Chama Taifa Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Mhe. Julius Mtatiro.
-Maandalizi yote yamekamilika.
-Mtafahamishwa utaratibu wa mapokezi ya viongozi wetu hawa wapendwa wa kitaifa.
Tamma.
Mhe. Amour Abal-Hassan.
Kwa hivyo CUF ni duka mali la mmanga, na chama cha kitaifa.Maalim Seif ndio CUF na CUF ndio Maalim Seif. Huyo Profesa wenu mpelekeni Lumumba akamwagilie maua. Hana nafasi tena kwenye CUF.
Sasa kaoana na sakaya wanafanyia mapenzi ofisini buguruni pro-pesa njaa imemfanya achepuke na mke wa mtu bila kingaMaalim Seif ndio CUF na CUF ndio Maalim Seif. Huyo Profesa wenu mpelekeni Lumumba akamwagilie maua. Hana nafasi tena kwenye CUF.
Pro-pesa a.k.a profeselii wa olijino comedy sasa linawinda luzuku wagawane na Msajili na Madalali wa siasa waliofanikisha Dili loteSema CUF Lipumba na siyo CUF Bara ambapo wengi hawaungi mkono ujinga wa PROPESA. Kwani huko Tanga kulikoitishwa kikao tangu lini kumekuwa visiwani!?
Mkutano wa wilaya unaitishwa na mwenyekiti wa kitaifa?Hizi ni habar za uhakika na sababu yake ni kuwa haujaitishwa na mwenyekiti halali wa chama ambaye ni Prof. Ibrahim Lipumba. Aidha wameenda mbali zaidi na kutaka polisi izuwiye mkutano huu.
Tangazo lenyewe la mkutano huo hili hapa;
The Civic United Front-CUF
Chama cha Wananchi
Wilaya ya Tanga
Taarifa kwa Umma.
Chama cha Wananchi-CUF wilaya ya Tanga, kinawatangazia wanachama wake wote, wapenzi pamoja na mashabiki kuwa kitafanya Mkutano wake Mkuu wa wilaya wa dharura tarehe 29/10/2016.
Agenda:
01.Mgogoro wa Meya Jiji la Tanga.
Mgeni rasmi:
Katibu Mkuu wa Chama Taifa Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Mhe. Julius Mtatiro.
-Maandalizi yote yamekamilika.
-Mtafahamishwa utaratibu wa mapokezi ya viongozi wetu hawa wapendwa wa kitaifa.
Taarifa imetolewa na-
Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma.
Mhe. Amour Abal-Hassan.
Mtu yoyote anayemtetea Lipumba akili yake ni ya kutilia shaka.Mtatiro hajitambui.
Kwa mujibu wa ccmHivi lipumba , sakaya na Kambaya ndio cuf bara ?
Alilo fanya mzee lipumba linaendana??Nikiangalia umri wa hawa watu na mambo wanayoyafanya wala haviendani kabisa!