Cuba yaomba msaada Marekani

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,502
Hii kitu ni nadra Sana kukiona lakini ndo imetokea.

Cuba yaomba msaada wa dharula toka kwa utawala wa Biden Rais wa Marekani baada ya kimbunga Ian kuharibu miundombinu ya Umeme na kusababisha watu wote kukosa Umeme kwenye kisiwa hicho chenye watu milioni 11.

WASHINGTON, Sept 30 (Reuters) - Cuba's government has made a rare request for emergency assistance from the administration of U.S. President Joe Biden after Hurricane Ian knocked out power to the whole island of 11 million people, the Wall Street Journal reported on Friday.

Hurricane Ian tore through the island nation on Tuesday, causing an country-wide blackouts, flattening homes and destroying agricultural fields. Cubans have staged protests against the government over the power loss, which heightened concerns over ongoing food, fuel and medicine shortages.

Washington has assessed that Cuban authorities would place priorities on hospitals, water pumping facilities, sanitation and other critical infrastructure if the Biden administration were to provide aid, the Wall Street Journal reported, citing a review of email communications.

The State Department did not immediately respond to a request for comment on the report, nor did Cuba's embassy in Washington.

REUTERS
 
... kwanini wasiende kuiomba kwa maswahiba wao wa kufa na kuzikana Urusi? Au kwa Maduro? Leo Marekani imekuwa mwema kwao?
Mkuu ukipata muda hebu soma bay of the pigs invasion uone ni kwanini aka kakisiwa kalikuwa na haki ya kujilinda
 
You're right! Watapiga kila aina ya propaganda kuwadanganya wajinga but at the end ukweli ambao hukawia kufika daima hauchangamani na hadaa. Makomunisti ndio baba wa uongo duniani.
Ila wafuasi wa makomunisti hawaachi kila siku kuomba viza,upendeleo ili kuingia nchi za magharibi
 
... kwanini wasiende kuiomba kwa maswahiba wao wa kufa na kuzikana Urusi? Au kwa Maduro? Leo Marekani imekuwa mwema kwao?
Mkuu mrusi saiv ameishiwa na hana ata bulet proof wale jamaa 1200 baada ya laki tatu aliokusudia kawapeleka vitani aliwapa bunduki mkononi tu, viatu kawambia wajitegemee, putin choka nafsi yake sasa anataka diplomasia baada ya yale maeneo aliyopiga kura Ukrean kuanza kuanza kuyarudisha pole pole siku ya pili tu baada ya kusherehekea.
 
You're right! Watapiga kila aina ya propaganda kuwadanganya wajinga but at the end ukweli ambao hukawia kufika daima hauchangamani na hadaa. Makomunisti ndio baba wa uongo duniani.
Sijui kwanini Hayati Mwalimu alifungamana nao.
 
Yule Mwanamasumbwi mwenye urefu wa futi 7 na Nchi kazaa. Hata asipovaaa bullet proof. Kichwa chake bullet proof tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…