SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
[/h][h=5]Mambo yakienda vizuri kama tulivyopanga, matokeo tutayatoa kesho. Kwa kudokezea ni kwamba wasichana wameng'ara sana kwenye mitihani ya mwaka 2012.
Tuombe Mungu kila kitu kiende kama tulivyopanga.
[/h]
Inasemekana matokeo wanamalizia kuyaingiza kwenye mtandao,kwa hyo anytime kuanzia sasa yanaweza kuwekwa hewan kwa hyo msichoke kuchungulia National examination council of Tanzania(NECTA) MUDA WOTE! Asanten sana
website inayotoa taarifa ya matokeo si ya necta ila ni ya mzugaji mmoja mkuda saana anayetaka kuwaweka roho juu watanzania ila ukweli ni kwamba matokeo yatakuwa tayari mpaka yatakapokuwa yametangazwa na katibu wake au yeyote mhusika kutoka baraza la mitihani. acheni kusikiliza redio mbao za mitaani.