Yani hiyo script haifai katika script zote duniani, sababu ni app tosha ukilinganisha na html. Yani mie ilikuja message ya ku update java nilivyokubali nikaenda kulala sababu huwa sizimi computa asubuhi nikakuta balaaa hatari. YAni nashukuru hawa jamaa dizaini kama huwa wana huruma fulani, sababu sijui kwann wameamini haraka na kutuma hiyo zip file. Maybe sababu ya ip inaonyesha huyu jamaa anaishi dunia ya tatu.
Nimesoma sana RSA 2048 encryption ni noma yani kama huna key ni lazima utupe files hizo.
Anyway ni jambo la kumshukuru Mungu kupata key with Zero cost sababu jamaa wapo kazini na wamejipanga.