Hii maada iko beyond uwezo wako.Ukitaka kupoteza pesa yako ,ww fanya hayo mabit con ,sijui prit coton ,wana badili badili majina ila jamii ni hiyo hiyo ,hautakuja kuamini ,kwanza wanaohubiri hizo habari wengi nimewafatilia ni vishazi Tegemezi ,wanaishi kwa mashemeji ,wanadhani kufanikiwa ni kuamka umekuwa Tajiri ,mara sijui kumine bitcone ,ingekuwa hivyo mabilionea wasingewekeza katika migodi ya madini ya kawaida ,Hakuna njia ya mafanikio rahic labda uuze unga ...
Haya ni mawazo ya wazee.Hii nchi imebarikiwa na mapori makubwa. Unaweza ukasafir zaidi ya kilomita 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa lakini vijana mnakimbilia kwenye Bitcoin cryotocurrency. Kama taifa tunaelekea wapi?
Kaka umesema jambo la maana vijana wengi wanawaza mafanikio ya haraka haraka pasipo kufikiria kuwa wanapoteza muda,na wengi wenye mawazo haya ni wale bado wapo kwao au kwa shemejiHii nchi imebarikiwa na mapori makubwa. Unaweza ukasafir zaidi ya kilomita 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa lakini vijana mnakimbilia kwenye Bitcoin cryotocurrency. Kama taifa tunaelekea wapi?
Pole sana broo hope utakuja kujua ukweli.... People are making serious money (including me) jaribu kufatilia kitu ujifunze hata kama hutaki kukifanya..... Knowledge is freeUkitaka kupoteza pesa yako ,ww fanya hayo mabit con ,sijui prit coton ,wana badili badili majina ila jamii ni hiyo hiyo ,hautakuja kuamini ,kwanza wanaohubiri hizo habari wengi nimewafatilia ni vishazi Tegemezi ,wanaishi kwa mashemeji ,wanadhani kufanikiwa ni kuamka umekuwa Tajiri ,mara sijui kumine bitcone ,ingekuwa hivyo mabilionea wasingewekeza katika migodi ya madini ya kawaida ,Hakuna njia ya mafanikio rahic labda uuze unga ...
Bitcoins zilianza 2008 hazikuwa na thamani kabisa lakini mwaka 2013 masoko yote ya fedha yalikuwa yanabadilisha Bitcoin kuwa dollars. Tarehe 10 April 2021, Bitcoin moja ilifikia thamani ya $60,000 na leo imeshuka na kuwa $30,000 kutokana na habari ya kuwa Tesla watauza hisa zao za Bitcoins na Serikali ya China imeanzisha ya kwao.Pole sana broo hope utakuja kujua ukweli.... People are making serious money (including me) jaribu kufatilia kitu ujifunze hata kama hutaki kukifanya..... Knowledge is free
Nishanununua Shiba zangu milion 10 nasubri zianze kuuzwa tu angalau sh 100 Haki ya nan mungu tu anaisaidieBitcoins zilianza 2008 hazikuwa na thamani kabisa lakini mwaka 2013 masoko yote ya fedha yalikuwa yanabadilisha Bitcoin kuwa dollars. Tarehe 10 April 2021, Bitcoin moja ilifikia thamani ya $60,000 na leo imeshuka na kuwa $30,000 kutokana na habari ya kuwa Tesla watauza hisa zao za Bitcoins na Serikali ya China imeanzisha ya kwao.
Kwa sasa, kuna benki ya kidijitali ambayo iko kwenye APP ukijiunga tu wao wanakulipa PiCoins kwa kila sekunde uwe mjanja na kuhakikisha hiyo APP iko on 24 hrs kila siku.
Kama ukiweza kuwaingiza watu watatu hadi watano kutumia nywila yako mapato yako yatapaa sana. Hii ni long term project siyo ya papo kwa hapo.
Utaanza kuvuta hela ya nguvu baada ya miaka 5 na kuendelea siyo leo
Matarajio ni kuwa kwa vile PiCoins inakwenda kwa watu wa kawaida thamani yake ndani ya miaka 10 itakuwa mara 10 ya Bitcoin. Thamani ya hizi digital currencies inategemea mzunguko na idadi ya watumiaji. Hivyo, mzunguko wa PiCoins unatarajiwa kuzidi mizunguko ya digital currencies nyingine kutokana na mkakati wake wa kuwafikia watu wa kawaida.
Cryptocurrency matumizi yake yatakapotengemaa nguvu ya mabenki, serikali na kampuni za tekinolojia kukusanya tozo mbalimbali kwa huduma zao itapungua.
PiCoins 1000 ambazo leo ni $25 ndani ya miaka 10 zitakuwa kati ya $300,000 hadi $500, 000.
So this is serious business kwa wawekezaji wenye mtazamo wa mbali.
Download hii app ya PICoins ukitumia link hiyo hapo chini na tumia password ya "asakila" ili kujiunga. Hii password ni yangu na ukiisha kujiunga hakikisha app hii iko on masaa 24 ili uvune angalau PiCoins 2.88 kwa siku.
Ukitaka kuvuna zaidi tafuta wanachama wengine na uwakaribishe kwa kutumia password yako ambayo utakuwa umejisajili nayo na kila watakapokuwa wakivuna PiCoins na wewe utakuwa unavuna 10% ya mavuno yao.
Changamkia hii fursa na wewe ndani ya miaka 10 uwe na mradi ambao unakuzalishia usiku na mchana bila ya wewe kumiminika jasho. Mapato ya namna hii huwa tunayaita passive income.
Karibu sanaaaaaaa
KUJIUNGA NA HII APP BOFYA LINK HIYO YENYE RANGI YA BLUE HAPA CHINI NA FUATA MAEKEKEZO YAKE.
I am sending you 1π! Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 23 million members worldwide. To claim your Pi, follow this link Pi Network and use my username (asakila) as your invitation code.
Pitia thread zanguYale Yale ya Forex na kijana smart Ontario!
Mambo ya kudownload fweza!
Acha kupoteza watu wewe kama wewe hujui tulia last week nimetoa €23000 katika polkadot hafu wewe unasema ni utapeli kila boashara ni utapeli sasUkitaka kupoteza pesa yako ,ww fanya hayo mabit con ,sijui prit coton ,wana badili badili majina ila jamii ni hiyo hiyo ,hautakuja kuamini ,kwanza wanaohubiri hizo habari wengi nimewafatilia ni vishazi Tegemezi ,wanaishi kwa mashemeji ,wanadhani kufanikiwa ni kuamka umekuwa Tajiri ,mara sijui kumine bitcone ,ingekuwa hivyo mabilionea wasingewekeza katika migodi ya madini ya kawaida ,Hakuna njia ya mafanikio rahic labda uuze unga ...
Usituludishe miak ya 19AD unataka tukaishi mapangoniHii nchi imebarikiwa na mapori makubwa. Unaweza ukasafir zaidi ya kilomita 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa lakini vijana mnakimbilia kwenye Bitcoin cryotocurrency. Kama taifa tunaelekea wapi?
Cryptocurrency ni kubwa hata mtaji wa $100 unatosha unaweza Fanya staking,arbitrage,hodl,mining,investing ,dairy trading(spot na future market) ni wewe tu na ukapata faid nzuriMkuu wanaweka hayo makato ili transactions ziwe confirmed haraka
Ila kwa jinsi ninavyoona hizi cryptocurrencies zinahitaji angalau mtu uwe kama na million 10 hivi ambayo haina kazi ndio itakuwa rahisi kuinvest maana kama transaction cost tu ni laki unategemea upate nini kwenye uwekezaji wako wa laki 1 na ½
Karibu mkuu kuwa na amanMkuu kama upo tayari please nije Inbox tuongee kuhusu Shiba.
Nimeuza zote juzi zilikua zinanichelewesha nimepanda gari la Solana naona raha tu. Wadau Crypto is real,Nishanununua Shiba zangu milion 10 nasubri zianze kuuzwa tu angalau sh 100 Haki ya nan mungu tu anaisaidie
Tuelimisha wabongo wengi wanaamin Ni wiziNimeuza zote juzi zilikua zinanichelewesha nimepanda gari la Solana naona raha tu. Wadau Crypto is real,
Inaonesha nyuma sana..Hii nchi imebarikiwa na mapori makubwa. Unaweza ukasafir zaidi ya kilomita 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa lakini vijana mnakimbilia kwenye Bitcoin cryotocurrency. Kama taifa tunaelekea wapi?
Nimeuza zote juzi zilikua zinanichelewesha nimepanda gari la Solana naona raha tu. Wadau Crypto is real,
Naomba mnieleweshe mmenunuaje shiba coin?Nishanununua Shiba zangu milion 10 nasubri zianze kuuzwa tu angalau sh 100 Haki ya nan mungu tu anaisaidie
Shiba zipo za kutosha Trust-wallet kwa agent Mecuryco.Naomba mnieleweshe mmenunuaje shiba coin?
Naomba step mlizofwatA.
Hoi coin naikubali Sana hata uporomokaje wake wakistaarabu sanaInaonesha nyuma sana..