Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 752
- 1,106
Lakini hizi engine za 1JZ na 2 JZ zina nguvu Sana pia zinachanganya mapema mno....
Hata ulaji wa mafuta Kati ya brevis na crown unafanana Tu isipokuwa crown zinapendwa Tu kutokana na comfortability, luxury na performance
Si kweli, engine ya crown ipo very optimized asa ktk ulaji wa mafutaCrown inakula kaka sema tu ni kupambana nalo ndio mana utakuta crown namba DS DT DR ni nying sana znazouzwa kulko IST maana weng wananunuaga kichwa kichwa ila mtu anachomutana nacho n tofauti
Lakini hizi engine za 1JZ na 2 JZ zina nguvu Sana pia zinachanganya mapema mno....
Hata ulaji wa mafuta Kati ya brevis na crown unafanana Tu isipokuwa crown zinapendwa Tu kutokana na comfortability, luxury na performance
Hii nakataa kabisa mzee baba.Crown inakula kaka sema tu ni kupambana nalo ndio mana utakuta crown namba DS DT DR ni nying sana znazouzwa kulko IST maana weng wananunuaga kichwa kichwa ila mtu anachomutana nacho n tofauti
3GR/4GR zilizoko kwny Crown/mark x etc zinakula mafuta vizuri zaidi/sana kuliko Brevis.
Kuna moja 2GR Lina 3,400cc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jamaa lilikuwa linampa 4.1km/l..
Mafuta ya 20,000 daily na Ana mshahara wa milioni moja.
Kapiga chini yuko premio
Hahah enheeee sasa madude hayo mi ndo nayapendaga na ikitokea nikaokota hela nikavuta Crown nataka hio kitu yenye 2GR kitu ina HP 314 na pia torque ya kutosha ipo,hizi 3GR/4GR hazinivutii.Kuna moja 2GR Lina 3,400cc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jamaa lilikuwa linampa 4.1km/l..
Mafuta ya 20,000 daily na Ana mshahara wa milioni moja.
Kapiga chini yuko premio
Engine ya Crown hio yenye cc 3500.2GR ni nini mzee ?? Na hiyo ambayo ina cc 3400 ni Brevis au Crown ??
Hahaha mnyamaaa.Teamcrown nipo hapa...cha muhimu pambana na hali yako tu...kama unaona uwezi cost ya crown kamata premior mkuu...lakini crown ndo kila kitu
Pesa ya mshahara ukitumika Kwenye mafuta lazima ushindwe Tu kumiliki gari hata huko Kwenye premio atashindwa Tu...Kuna moja 2GR Lina 3,400cc 🤣🤣🤣🤣🤣. Jamaa lilikuwa linampa 4.1km/l..
Mafuta ya 20,000 daily na Ana mshahara wa milioni moja.
Kapiga chini yuko premio
Teamcrown nipo hapa...cha muhimu pambana na hali yako tu...kama unaona uwezi cost ya crown kamata premior mkuu...lakini crown ndo kila kitu
hahahahah!!!! Benz ya MJAPAN, Aisee crown ni gari tamu sana. Performance, comfortability and stability. Yaan kadri unavyo accelerate ndivyo linazidi kuwa stable. Shikamoo MJEPUTeamcrown nipo hapa...cha muhimu pambana na hali yako tu...kama unaona uwezi cost ya crown kamata premior mkuu...lakini crown ndo kila kitu
HhhhhhPesa ya mshahara ukitumika Kwenye mafuta lazima ushindwe Tu kumiliki gari hata huko Kwenye premio atashindwa Tu...