Mawazo ya kutokujuwa sababu kuna wanajeshi mashogo huko ulaya na marekani, wapo wacheza karate, judo na ngumi..ile kutiwa nyuma sidhani ni sababu za wao kutokuweza kufanya lolote, asi hata wakinamama wasingefanya haya yote tuyaonayo kama ni hivyo basi..
Sina uhakika kama Cristiano katumia surrogate mother,ila kama katumia,ofcuz,lazima amjue mama maana kuna process za muhimu za kufata pamoja na malezi ya ujauzito hivyo sio jambo rahisi kama kutoa pesa atm.Lazima kuna ushirikiano na makubaliano.