Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Huyu ndo Baby Jesus aliyesherekewa jana na mabilioni ya wakristo.
This is Blesphemes: Kwanini unamwabudu Yesu ambaye kila mwaka anakuwa mtoto?, Yesu anayebebwa na mwanadamu leo? na si yule Yesu wa Nazaret aliyembinguni katika mkono wa kuume wa Mungu mwenyezi?
Nani alikuagiza kufanya hivyo huku mitume wala wakristo wa awali hawakufanya hivyo? Hata wao wanakiri hivyo:-
Ensaiklopidia ya Kikatoliki, toleo 1911, inasema hivi juu ya “Krismasi”: “Krismasi haikuwa miongoni mwa sikukuu za mwanzo za Kanisa… Christmas was not among the earliest festivals of the Church (Martindale C. Transcribed by Susanti A. Suastika. Christmas. The Catholic Encyclopedia, Volume III. Copyright
1908 by Robert Appleton Company. Online Edition Copyright
2003 by K. Knight. Nihil Obstat, November 1, 1908. Remy Lafort, S.T.D., Censor. Imprimatur. +John Cardinal Farley, Archbishop of New York).
Sasa kama mitume na wakristo wa zamani hawakufanya hayo unafikiri huko salama? Tazama hapo chini:-
“Subtly…the old gods had entered their churches…And they live still in the festivals of Christianity.”-(Testament: The Bible and History, Romer, 1988, pp. 230-31). Tafsiri-miungu ya zamani iliingia katika makanisa yao na bado inaishi kwenye sherehe za kikristo.
Rafiki hata kama utasema nakuhukumu tambua tu unafanya ibada ya sanamu katika sura ya kikristo. Na haupo katika amri ya kristo bali mapokeo ya wanadamu, kifupi unaabudu bure.
Nao waniabudu bure,Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu, Marko 7:7. Krismasi si amri ya Mungu—ni mapokeo ya wanadamu. Kristo aliendelea, “Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu” (Marko 7:9)
Sanamu zao ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu. Zina vinywa lakini hazisemi, Zina macho lakini hazioni, Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazisikii harufu, Mikono lakini hazishiki, miguu lakini haziendi, Wala hazitoi sauti kwa koo zake. Wazifanyao watafanana nazo, Kila mmoja anayezitumainia. Zaburi 115:4-8
Fanya hima umrejee Yesu aliye hai aitwaye Kristo ili akupe toba na msamaha wa dhambi, na si huyu Yesu wa kutengeneza anayebebwa.
Mungu akubarikie sana unapochukua hatua.
This is Blesphemes: Kwanini unamwabudu Yesu ambaye kila mwaka anakuwa mtoto?, Yesu anayebebwa na mwanadamu leo? na si yule Yesu wa Nazaret aliyembinguni katika mkono wa kuume wa Mungu mwenyezi?
Nani alikuagiza kufanya hivyo huku mitume wala wakristo wa awali hawakufanya hivyo? Hata wao wanakiri hivyo:-
Ensaiklopidia ya Kikatoliki, toleo 1911, inasema hivi juu ya “Krismasi”: “Krismasi haikuwa miongoni mwa sikukuu za mwanzo za Kanisa… Christmas was not among the earliest festivals of the Church (Martindale C. Transcribed by Susanti A. Suastika. Christmas. The Catholic Encyclopedia, Volume III. Copyright
1908 by Robert Appleton Company. Online Edition Copyright
2003 by K. Knight. Nihil Obstat, November 1, 1908. Remy Lafort, S.T.D., Censor. Imprimatur. +John Cardinal Farley, Archbishop of New York).Sasa kama mitume na wakristo wa zamani hawakufanya hayo unafikiri huko salama? Tazama hapo chini:-