Hydrazin
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 253
- 372
c.c 1980
mileage 100334km
Bei 5.5M
ni gari ya mwaka 2001.
Haina shida yoyote.
Engine haijaguswa
Location Kigamboni
Hamna dalali ni mimi mwenyewe muhusika unakaribishwa kuiona.
Ilikuwa inatumiwa kwa mizunguko midogo midogo hapa mjini na (Ke).
Kila kitu kipo haidaiwi.
Reason ya kuiuza ni kiasi tu hicho kinatakiwa kujazia ili kuchukua gari nyingine ya juu zaidi.
.