Kabla ya kuwatuhumu jiridhishe kwa mambo yafuatayo: baada ya ku-recharge huku conect internet?!, je, automatic updates settings kwenye comp yako zikko je?, kama uli-conect internet hata mara moja na outomatic updates zikiwa ON then ujue kuwa buku 10 inaweza kulambwa hata ndani ya sekunde 10, jiridhishe kwa hayo la sivyo utanunua moderm zote zilizopo duniani kabla ya kufirisika, ciao.