Ndio maana kuna mdau moja alishauri niweke namba ili iwe rahisi kutambua ipi ina mvutoJamaa kasahau wabongo hawajui rangi. Ahaaaa kijan
Damu ya mzee ndio rangi gani mkuu?Damu ya Mzee ndio maroon
Yeah.One with the color found on jf official logo.
powa, tuko pamoja, Nipo nawanoa vijana ili nao waweze kama sisiHahaha safi sana tutor...ila kidogo kama umei- stretch into width.lakini yawezekana macho yangu yakawa yana tatizo.all in all,thanks for your initiative.
powa sanaWanoe vijana ili waje waongeze hamasa ya kiushindani sokoni.
Najua hilo mkuu.Na hiyo ndio logo kuu ya jf.