Tuko pamoja ila naweza kukusaidia kuzipa namba then nika-upload againDa halafu umeongea jambo la maana sana...bahati mbaya nilishazima computer na nimeshatoka eneo ambalo nilikuwa nafanya project hii.niwie radhi mkuu.
Damu ya Mzee ndio maroonkati ya vitu ambavyo vinanipa shida ni kutambua mchanganyiko wa rangi kwa lugha ya kigeni.hiyo maroon ndio ipi hapo mkuu?
Unaweza.kuwa huru tu.Tuko pamoja ila naweza kukusaidia kuzipa namba then nika-upload again
Ebu nijaribu!Unaweza.kuwa huru tu.
ila hofu yangu image yako inaweza kuwa compressed kwa kushuka ubora kutokana na downloading and uploading process. ila jaribu kwanza tuone.
Image niliyo upload Mimi,ni fresh version of a jpeg file from the the software.