Wadau kama mnavyojua prof ashasema kila continuous student mnufaikaj wa mkopo anatakiwa kuingia kwenye account yake j3 hii ili ajaze taarifa maalumu,, tatizo linakuja kila nikijalibu ku create au kulogin kwenye account yangu inashindikana,, mwenye experience na tatizo hilo naomba msaada wake Tafadhali