Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,756
Umejuaje kama ni bavicha? Mbona hajajitambulisha kama bavicha?vijana wa bavicha unamatatizo sana
Aisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tenaBaada ya kukwangua ukoko kwenye akaunti yangu ya CRDB. Imebaki kama elfu kumi na mbili hivi ambayo CRDB wameing'ang'ania.
Available balance inasoma buku mbili wakati actual balance inasoma elfu 12.
Sasa wajameni hakuna hela ndogo unapokuwa umeuawa.
Je, nawezaje kuwakaba koo CRDB wauachie mwekundu wangu?
Hahaha!!Aisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tena
Benki zilikuwepo kipindi cha Nyerere siku hizi peleka hela zako VICCOBA tu ndio utaona imeongezeka na haifi benki inakufa hata usipo iuaAisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tena
Akaunti ilikuwa na njaaAisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tena
hahahahaaaakaunti yako ilikuwa na njaa
ana mfahami jana alimuona akimgegeda bi mkubwa wake,Umejuaje kama ni bavicha? Mbona hajajitambulisha kama bavicha?
Aisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tena
Umehamia bank ipi kwa sasa?, hata mimi card yangu sijaitumia muda mrefu, nilitaka niifufue lakini nilivyoona ongezeko la gharama kwenye huduma zao nikaghairi mazimami nilikuta wamelamba 50000 wananiambia ni kwa sababu ya huduma inakatwa mara mbili kwa mwaka kuomba statement ya mwaka wananiambia nilipie 19000 nimeweka kadi yao kama mapambo