CRDB wamezuia shilingi elfu kumi kwenye akaunti yangu! Nawezaje kuipata?

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Baada ya kukwangua ukoko kwenye akaunti yangu ya CRDB. Imebaki kama elfu kumi na mbili hivi ambayo CRDB wameing'ang'ania.

Available balance inasoma buku mbili wakati actual balance inasoma elfu 12.

Sasa wajameni hakuna hela ndogo unapokuwa umeuawa.

Je, nawezaje kuwakaba koo CRDB wauachie mwekundu wangu?
 
1550498696445.png
 
Aisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tena
 
Hahaha!!

Eti akaunti ilikuwa na njaa
 
Benki zilikuwepo kipindi cha Nyerere siku hizi peleka hela zako VICCOBA tu ndio utaona imeongezeka na haifi benki inakufa hata usipo iua
 
Aisee wasamehe niliwahi vunja kadi yao mbele ya branch manager wa mlimani city kwa hasira.kisa kilikuwa nilikaa muda wa miaka 4 akaunti yangu ikiwa dormant,siku ya siku nikasema nikarecharge ila kwanza nikaomba mwongozo wao,wakasema utakatwa 5000 kama adhabu nikasema poa,wakaniambia niweke akiba.nikaweka 25000,ili wakate 5000 yao ingine itunze akaunti,nikatoka nje nikasema nicheki balance naambiwa nina 1400 tu.kurudi ndani naomba majibu wananiambia akaunti yako ilikuwa na njaa nilivunja kadi nikaachana nao.siwataki tena
Akaunti ilikuwa na njaa
 
"heart broken"
 
mi nilikuta wamelamba 50000 wananiambia ni kwa sababu ya huduma inakatwa mara mbili kwa mwaka kuomba statement ya mwaka wananiambia nilipie 19000 nimeweka kadi yao kama mapambo
Umehamia bank ipi kwa sasa?, hata mimi card yangu sijaitumia muda mrefu, nilitaka niifufue lakini nilivyoona ongezeko la gharama kwenye huduma zao nikaghairi mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo pesa ni kwa sababu ya operating costs za account, huwezi kukwangua ukabaki na zero cent. Ushauri wangu kwako nenda katika bank unayoona itakufaa si wengine CRDB ndio tumefika.
 
Kitambo sana nilivunja kadi yao,, Hawa jamaa wamekaa kiwiziwizi mm walinibambikiza deni la laki moja eti wanadai nilidraw hela katika akaunti yangu wakati haina hela kwa hiyo ikaweka negative,, jaman hivi kwa akili ya kawaida hili linawezekanaje,,,,, tulipelekeshana wakanipa hela yangu baada ya hapo nikavunja kadi yao,, maana sikuona maslah nao tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom