Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 413
Asante, ila nitajitoa Sim-Banking,licha yakuwa gharama, haziaminikiMkuu haya mambo hutokea sana, sometimes mitambo huwa inajicontadict na kufanya mafyongo
Kama umekwenda bank na kujaza complain form lazima walikupa muda wa siku kadhaa tatizo lako litakuwa tayari
Na kama muda umekwisha basi rudi tena bank kawaeleze watakwambia tatizo ni nini
Kwa haraka haraka inawezekana kabisa mitambo ya Vodacom ilijichanganya ikaripoti transaction imekamilika na kukupa taarifa hiyo ila kiukweli transaction haikukamilika na pesa bank haija kwenda na kwenye acc yako ya mpesa imetoka ipo ina hang
CRDB hawawezi kukupa pesa ambayo haijaingia kutoka Vodacom, inabidi wawasiliane na voda, voda waiingize manually ndio wewe unaweza kuichukua kwenye acc yako......so tatizo lipo Voda na sio CRDB
Pole ndio kadhia ya teknolojia hiyo mkuu ila hawajakuibia pesa yako
Dah, hizi technolojia za kichina kumbe hatari hivi..Maelezo mazuri sna mkuu. Ni kweli kwamba hata vod nao kuna wakati wanachemka. Juzi walithibitisha kwamba hela yangu imeshatutwa crdb na crdb wakanipa ujumbe kuwa wamepokea. Voda walithibitisha kuwa wametuma 100,000 kwenda crdb na crdb na watilhibitisha kuwa wamepokea 10,000 kutoka voda. Iliniumiza kichwa sana na nikaangalia salio cfdb nikuta ni kweli wamepokea 10,000 kutoka voda na pia nikaangalia salio ktk voda nikakuta imetika 100,000. Nilianza na voda kuwauliza waknambia kuna ttzo la mtandao kwahyo 90,000 ilikuwa bdo haipo crdb wala ila baada ya saa 24 wlinambia hela itarudi ktk voda ili nitume tena na ilirudi kweli. So mkubwa ajaribu kucheki na voda pia
We acha tu.Hizi digitale na teknolojia zinachanganya sana.
Kuna wizi, nafikiria kufungua kesi mahakamani.Mashahidi ni M-pesaNdani ya CRDB kuna wezi hasa kitengo cha IT! Kama ni tatizo la technlgia isingeenda hela yote....lakini kama imeingia kiasi na kilichobakia hakijulikani kilipo...huo ndio wizi ndani ya tekelinalokujia!
Kuna mshakaji wangu naye kiasi cha hela yake kilikuwa hakinekani kiajabu tu katika acc yake CRDB.....akawa akienda anajibiwa kama wewe.....nikamshauri akienda tena aombe kuonana na Branch Manager kama majibu ni yaleyale.....wale wafanyakazi waliokuwa wanamzingua mshikaji wangu waliposikia jamaa anataka kuonana na mkuu wao...hela ilirudi (walimwambia baada ya masaa kadhaa akaangalie acc yake zitakuwa tayari- na ikawa hivyo). Nami nakushauri omba kuonana na mkuu wao (branch manager - halafu uone)!
Kwa nini bank au mpesa wanaanzisha huduma wasiyoiweza. Shameusitumie kabisa huduma ya m-pesa to bank, m-pesa to nmb / m-pesa to crdb etc wengi wamelizwa
Inanipa shida kidogo, CRDB wananiambia tatizo halipo Mpesa bali CRDB, wao wanakiri lakini hawaweki pesa akaunti.Sasa hapo waliokuibia ni cedb au voda?
look at it this way. Kama umemuagiza mtu akupelekee pesa bank, akakutumia ujumbe kuwa kashakuwekea pesa bank, lakini ulipoenda bank umekuta pesa hazijawekwa. Who will be your first suspect, bank au yule uliyemuagiza? Kama ukihitaji kushtaki nani utamfikisha mahakamani, bank au yule uliyemtuma?
Inanipa shida kidogo, CRDB wananiambia tatizo halipo Mpesa bali CRDB, wao wanakiri lakini hawaweki pesa akaunti.
hapo ndio kaazi kweli,Kwa nini bank au mpesa wanaanzisha huduma wasiyoiweza. Shame
duh, pole.Inabidi hizi huduma zisitishwe.Zitachangia wizi hizi...Imetokea pia kwangu leo,nilikuwa naweka Tsh 58000 tu,cha ajabu imeingia 8000 pekee. Hii nyingine sijui imekwenda wapi. CRDB wana matatizo sana na sym zao aise.
duh, pole.Inabidi hizi huduma zisitishwe.Zitachangia wizi hizi...