CRDB UDSM branch idara ya mikopo mjitathmini jamani

magorsabibu

Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
10
Reaction score
5
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu ,Nina mdogon wangu ameomba mkopo tangu mwishoni mwa November mwaka Jana mpaka Leo ni miezi 4 hajapewa mkopo.

Makao makuu CRDB wameshapitisha huo mkopo kwamba apewe (wame approve) hyo approval INA zaidi ya mwez lakin bado pale branch wanamzingua Mara ooh form ulizojaza ni za version ya zaman, sababu nyingi hazieleweki.

Hivi kweli mtu unafuatilia mkopo wa hela ndogo tu miezi minne kama hamtaki kumpa Mteja hela si mngemwambia tu aende taasisi nyingine.sisi ni wateja wenu jamani haiwezekani mkopo umepitishwa halafu bado mnamzungisha mtu kiasi hicho.

Nimeamua kutoa malalamiko haya kwa sababu miaka 2 nyuma nimeshawahi kufuatilia mkopo pale UDSM branch kunitembelea tu ilichukua mwezi mmoja na nusu nawabembeleza waje wanitembelee nilivyoona wanazingua nikaachana nao.

Sababu mliyompa sasa hivi ni kuwa mnasubiri document itoke mkoani imetumwa kwa EMS TANGU tar 15 march hv kweli EMS hapa Tanzania inachukua zaidi ya wiki kweli, meneja ujumbe huu ukufikie uufanyie kazi pamoja na mkurugenz WA mikopo
 
Au hauna jina linaloendana na kule kilima kyasharo mkuu. Pole sana .badilisha jina mana kila tawi lazima MTU awepo
 
Mkuu, hiyo benki nafikiria kujiondoa nikatafute benki nyingine.
Especially hiyo ya UDSM sitokaa niende kuomba huduma hapo.
Ni wa....nge sijapata kuona.
Kuna siku ATM card yangu ilicrash wakati natoa hela, ilikuwa jumapili, hela haikutoka, kadi ikatoka na hela ikawa imekatwa kwenye akaunti, Tsh 400,000. Niliripoti jumatatu pale CRDB UDSM, wakanipromise kuwa leo itarudi. Haikurudi, Jumanne nikaenda tena, wakaniambia niandike barua, nikaandika. Wakaniahidi within 24 hours itarudishwa. Nikasubiri jumatano hakuna hela. Alhamisi hakuna hela. Mizimu yangu yote ilipanda siku hiyo nikafika pale, nikakuta barua niliyoandika jumanne iko pale pale nilipoiacha, hapo ni alhamisi. Mwanaume nilirindima pale ikabidi huduma zote zisimame mle ndani kila mtu ananiangalia nitafanyaje. Wale askari walinzi wakaja wakanisogelea niliwachenjia, wahudumu wengine mle ndani wakawa wapole tuu. Nikaacha ultumatum ya masaa mawili. Nikamwambia after two hours i will be back if my money is not in my account, na mjiandae. Kama sumu ya panya inaonjwa kwa kulamba jaribu hiyo.

Shenzi, ndani ya nusu saa hela ikaingia kwenye akaunt. Yule dada hatakaa anisahau.
 
Hahahaa bora uliamua
 
Mimi nilipigwa mwezi mzima nilipatem

Belea
 
Je riba ni asilimia ngapi vile?
Biashara nyingi zinadumaa kwa sababu ya huduma duni kwa wateja
 
Safi sana...
Tatizo wengi wetu tuna yale ya ujamaa ujamaa, haki zetu hatujuwi, kwao zageuka favor, tumejikalia tu na kusalimiana bila sababu, tuwe kama Wakenya, usiseme naomba kama una hela zako, sema nataka, salamu zisalimiwe ndani ya ofisi, kwa kifupi, kazi ipigikike..
Tunagundu sana aise...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom