Kijana Mzeeeh
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 295
- 324
Ata hapa wataona tu. Nimeshawapigia sana simu.nenda karipoti sehemu usika utakua umewasaidia wengi..
Sawa mwisho wa siku hela yangu imepona, lakini inakera sana.Dah.... Kama mambo yaliisha pita na Pesa yako ikabaki salama kwenye account yako hapo huoni Kama ni ushindi tayari?? Sasa Unaweza kutumia hiyo Pesa kwenye mambo ya "msingi"
CRDB ni bank ya ovyo sana ATM zao nyingi hawaweki pesa na simbanking kuipata ni kwa bahati; naona kuna tatizo ambalo hatujalijua bado na huenda wanaelekea kufilisikaSawa mwisho wa siku hela yangu imepona, lakini inakera sana.
imenikuta mm asubuhi hii ilinibidi nirudi nyumbani nivunje kibubu changu cha mbao maana kuhamisha kwenye tigo pesa naambiwa subiri tu kwenye Atm network down ,ila huenda kweli kuna kitu sio kizuri wanatuandalia hawa viumbe.Nami leo nimesomeshwa namba baada ya kushindwa kabisa kuhamishia fedha kwenye simu!
Hela imepona ndio, lakini inakasirisha sana Mkuu.mkuu ela imepona shukuru mungu maana najua ulikua na yule Dem nilikuona nae jana
Dah... Mbona wana namba zetu, email add hata id zetu za JF mbona hawakitujilisha?? Sema wameanza kulewa sasaNliona tangazo walisema kutakuwa na system shutdown jana usiku mpaka leo asubuhi ya leo. Nahisi hukuzifikia hizo taarifa.
Natumia sana hii huduma lkn hivi sasa siitaki tena. Kuna mfanyakazi aliniambia kuwa hii huduma ya simbanking bado iko kwenye maharibio na niiepuke haraka sana, kuna kipindi pesa yangu imekaa siku 16 pasipo kujulikana kama imefika CRDB ama bado iko mpesa. Ukipiga CRDB Huduma kwa wateja wanakupokea, ukitoa maelezo yako wanakuambia subiri usikate simu ndo imetoka kwani hakuna atakayerudi kukujibu hadi simu inakata automatically. Ukipiga tena unaambiwa subiri usikate simu.........CRDB ni bank ya ovyo sana ATM zao nyingi hawaweki pesa na simbanking kuipata ni kwa bahati; naona kuna tatizo ambalo hatujalijua bado na huenda wanaelekea kufilisika
Wangetuma ata SMS kama ambavyo huwa wanatuma katika ku-promote huduma zao tungefahamu mapema kuliko kuweka tangazo kwenye gazeti.Walisema wkend hasa leo watakua na matengenezo yao kuboresha huduma, niliona kwenye mwananchi la jana