Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Wateja wote wa CRDB waliofanya transfer kwa kutumia Simbanking siku ya Jumpili 17.11.2019 hela zao zimezuiliwa. Kila wakipigiwa simu wanasema subiri. Hawajui extent ya usumbufu waliowasababishia wateja. Usumbufu wa aina hii katika hii benki umekuwa kawaida. Kungekuwepo regulatory authority ya bank, hawa jamaa wangechukuliwa hatua.