Heshima mbele wadau,
Naomba kujuzwa hii benki ya CRDB Plc wanachukua watumishi kuanzia GPA ya ngapi. Toka nimalize chuo napeleka CV tuu kila siku. Wana CV zangu zaidi ya kumi. Lakini kila uchao wanaajiri vijana wenzangu, lakini hata kwenye interview sijawahi bahatika kuitwa.
Ningependa kujua coz ukipeleka CV yako pale Azikiwe branch unaishia kwa mlinzi na hakupi jibu la kueleweka kabisa kama sio kukattisha tamaa
Kirongo 1 nawasilisha.