Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
hata wafanyakazi wa migodini hawajapata wakati wanaochukulia stanbic na standard charted walishalamba, inaonekana kuna sintofahamu,Bank hawawezi kaa na ela yako mkuu. Hazina watakuwa hawajapeleka
Bank hawawezi kaa na ela yako mkuu. Hazina watakuwa hawajapeleka