WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,616
- 3,799
Benki ya CRDB inajisifu kuwa benki kubwa ila ni ya hovyo!
Leo network ya Sim Banking App inasumbua sana. Unatuma hela inakwambia muamala haujakamilika rudia tena. Una bonyeza sawa, una rudia tena, kumbe inatuma awamu zote, baadae unatumiwa sms za kawaida kuwa umetoa pesa, sms 3 au 4.
Namba yao ya Customer Care Sim Banking 0714197700 haikubali options za kuongea na mtoa huduma. Uki bonyeza hai respondi. Hivi hii nchi ya Tanzania hata IT wa hiki kitu kidogo tu benki kubwa kama CRDB haina?
Au wameweka Onhold wale bata? Eti benki ina expand Rwanda, Congo, nk, haina hata option ya ku reverse transaction kama M-Pesa.
Tukubaliane, mkipoteza hela zangu leo kwa uzembe wa sikukuu mtazilipa hata Mahakamani.