Tangu juzi katika ATM za CRDB kila nikienda hakuna huduma...maeneo matatu tofauti..naona hela za mishahara ya serikali zimewalewesha kama ilivyokuwa NMB. Kama.hamuwezi kuendesha ATM mzitoe mitaani.
Na hiyo ni Dar...sijui mikoani itakuwaje
Hawa sa ivi wababaishaji tu. Wanaweka ma ATM hayafanyi kazi vizuri ukijaribu kufanya transaction unaambiwa mtoa Kadi hayupo jaribu baadae..then wanakukata kwa kutumia hilo li mashine na huduma hujapata.. wizi mtupu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.