HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:

Taratibu za mkopo na akaunt kwa wenye nazo na wasio nazo hufanyika chuoni.
Kama utakuwa nayo akaunti wewe hautahusika na zoezi la ufunguaji wa akaunti kama utapendelea kuendelea kutumia hiyo akaunti, kwa wale wasio na akaunti team toka benki huja chuoni na kila kitu kitafanyika hapo.
jamani wenye majibu si mumpe...mbona mna kazi ya kumpiga madongo wakati mtu mwaka wa kwanza kauliza......???????aaaaaaaah...mbona mnapenda makonakona....be straight......