Mkuu huyu ndugu hana account CRDB,na hajawahi kuwa nayo. Bank account yake iko NMB.Maofisa wa benk walivyomakini kukagua viambatanishi wakati wa kuomba mkopo sidhani kama wanaweza kufanya uzembe huo. Hata benki statement nayo alifoji? Mleta uzi usituletee masihala! Mimi nilishawahi kukopa karibu benki zoote najua wanavyokagua na kujihakikishia tena kupitia maofisa zaidi ya mmoja hawawezi kukosea!
Ahsante mkuu. Kama ni mtumishi was umma au binafsi, CRDB hawatoi mkopo bila kuja kwa immediate supervisor wa muomba mkopo kuthibitisha picha ya muomba mkopo, majina yake na jina na shahihi ya aliyemsainia kama immediate supervisor. Na wanakuja kwenye kituo cha kazi. Huyo jamaa yako afuatilia kama hayo yote yalifanyika.Maofisa wa benk walivyomakini kukagua viambatanishi wakati wa kuomba mkopo sidhani kama wanaweza kufanya uzembe huo. Hata benki statement nayo alifoji? Mleta uzi usituletee masihala! Mimi nilishawahi kukopa karibu benki zoote najua wanavyokagua na kujihakikishia tena kupitia maofisa zaidi ya mmoja hawawezi kukosea!
Pale ofisini kwao wapo HRs kama 4. Leo huyu ndugu aliitwa na boss wao (HRs), ambaye wanafahamiana (viti virefu,mkuu wa meza).Ahsante mkuu. Kama ni mtumishi was umma au binafsi, CRDB hawatoi mkopo bila kuja kwa immediate supervisor wa muomba mkopo kuthibitisha picha ya muomba mkopo, majina yake na jina na shahihi ya aliyemsainia kama immediate supervisor. Na wanakuja kwenye kituo cha kazi. Huyo jamaa yako afuatilia kama hayo yote yalifanyika.
Maofisa wa benk walivyomakini kukagua viambatanishi wakati wa kuomba mkopo sidhani kama wanaweza kufanya uzembe huo. Hata benki statement nayo alifoji? Mleta uzi usituletee masihala! Mimi nilishawahi kukopa karibu benki zoote najua wanavyokagua na kujihakikishia tena kupitia maofisa zaidi ya mmoja hawawezi kukosea!
Si rahisi kitu kama hiki kutokea, otherwise ni deal la Loan officer na HR wa hiyo kampuni!Mkuu @Philpo D. Ruzige tafadhali utupe elimu ya yanayofanyika,maana tutapigwa wengi. Itakuwaje kwa kesi kama hiyo ya ndugu yangu.
huyo HR alimwambia pesa imeshachukuliwa.Ina maana mkopo alipewa bila mwajiri kuidhinisha
Inawezekana. Labda hata ofisini(mwajiri) wapo wahusika. Hisia zangu.Mkuu inawezekana wapiga dili ni wafanyakazi wa benki wenyewe
Kwa hiyo, hiyo pesa iliingizwa kwenye account ipi?Mkuu huyu ndugu hana account CRDB,na hajawahi kuwa nayo. Bank account yake iko NMB.
Kikawaida, benki hazifanyi kazi na HR yeyote ili mradi yupo ofisini. Benki zina deal na HR aliye certified kuhudumia specific bank. Ikitokea ukasainiwa na HR ambaye hatambuliki na benki husika, hupewi mkopo. Kwahiyo sasa, huyo HR mkuu anamjua ni HR gani aliyepitisha huo mkopo. Aanzie hapo kumsaidia huyo jamaa yake wa stuli ndefu. Akimuona ana complicate ajue hilo deal analijua na walipanga "kumpiga".Pale ofisini kwao wapo HRs kama 4. Leo huyu ndugu aliitwa na boss wao (HRs), ambaye wanafahamiana (viti virefu,mkuu wa meza).
Acha kujitahidi kutetea huo upuuzi dogo, hakuna kitu kama hicho.Pale ofisini kwao wapo HRs kama 4. Leo huyu ndugu aliitwa na boss wao (HRs), ambaye wanafahamiana (viti virefu,mkuu wa meza).
inawezekana iliingizwa kwa account ya mwombaji fake.Kwa hiyo, hiyo pesa iliingizwa kwenye account ipi?
sina haja ya kudanganya. Hili ni tukio la kweliAcha kujitahidi kutetea huo upuuzi dogo, hakuna kitu kama hicho.