Schoolface
Senior Member
- May 7, 2021
- 157
- 166
Ina maana mtoa uzi hajui kutofautisha kati ya Wakala na Benki?Ile sio bank ndugu. Ni wakala tu. Soma vizur bango lao
tumia akili zako vizuri ndugu, hapo hakuna tawi, kuna wakalaHabari wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kisemavyo kumekuwa na kero sana katika maeneo ya Lamadi yaani kila ukienda bank ya CRDB pale Lamadi unakuta bank ipo wazi ila ndani hakuna watoa huduma yaani unamkuta mlinzi tu na kama ukibahatika kumkuta mtoa huduma wa pale CRDB basi ukitaka kufanya shughuli yoyote ya fedha unaambiwa hakuna salio nimeenda pale mara nyingi sana hakuna huduma yoyote inayo fanyika pale ni bora mkafunga bank kuliko kila siku tukienda pale tunakosa huduma inaboa sana na ukienda kwa mawakala wanakwambia uende bank ukienda bank jibu ni mmoja tu hakuna salio inabidi uchome nauli mpaka bunda mjini ndo uludi Lamadi.
Poleni kwa mwandiko jamani.
hapo bunda siku hizi kuna crdb? inawezekana hapo lamadi walianzisha bila kufanya utafiti wa kutosha.
Wanakuwaga washamba sanaWasukuma bhaanaaa.....!!ππππ
Iiiggghhhh bhangoshaaa.....π€ͺ.
Na kweli ni muandiko....ni lamadi au RAMADI
Ile sio bank ndugu. Ni wakala tu. Soma vizur bango lao
Ndio walituongoza lakiniWanakuwaga washamba sana
Hiyo ni wakala.Benki huwa hawishiwi salio wewe.maana salio ndiyo biashara yenyeweHabari wanajukwaa,