CRDB kwanini mnatoza makato muhamala unaposhindwa kukamilika

_giraffe

New Member
May 5, 2019
1
0
Habari?
Juzi nilituma pesa kutoka CRDB kwenda Tigopesa ilikuwa ni Tsh. 40,000/= kiasi ambacho makato yake yalikuwa ni 3,500/= cha ajabu pesa hiyo haikufika kwenye namba ya simu husika baada ya kuwapigia simu wakasema pesa itarudishwa, siku moja baadae walirudisha Tsh. 40,000/=

Swali;
1. Kama nililipa 3.5K ili mfikishe 40K kwenye namba ya tigo mkashindwa kwanini mnarudisha pesa tu iliyotumwa bila kunirudishia na makato yangu ili kama ikiwezekana nitume tena?
2. kama makato ni kwaajili ya kufanisha muhamala wangu kwanini yasirudi kama muhamala haujakamilika

Hii imekuwa tabia yenu kwani siku chache zilizopita nilituma pesa kutoka CRDB kwenda NMB kwa kutumia SIMU bank app mambo yalikuwa ni hayahaya, fedha inarudishwa bila kurudishiwa makato yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom