CRDB kulikoni?

Daniel Mjema

Member
Jul 23, 2007
77
84
Wapendwa,

Naomba kuuliza. Hivi siku hizi CRDB Bank inachukua siku tatu ku comfirm hundi yao iliyotoka tawi lingine?
 
Waone pale ofisini kwao huduma kwa wateja watakupa ushauri mzuri zaidi kuhusu suala lako.
 
Wapendwa,

Naomba kuuliza. Hivi siku hizi CRDB Bank inachukua siku tatu ku comfirm hundi yao iliyotoka tawi lingine? Maana nime deposit cheque tangu juzi hapa CRDB tawi la Moshi, hundi ambayo mlipaji ni tawi la Dodoma lakini mpaka leo haijaingizwa kwenye account yangu. Kama hundi ya CRDB kwa CRDB inachukua three days, hundi kutoka benki nyingine huchukua siku ngapi. The bank that listen

Hama bank mabank yote hayo hapo Tz bado unatumia crdb??
 
Wapendwa,

Naomba kuuliza. Hivi siku hizi CRDB Bank inachukua siku tatu ku comfirm hundi yao iliyotoka tawi lingine? Maana nime deposit cheque tangu juzi hapa CRDB tawi la Moshi, hundi ambayo mlipaji ni tawi la Dodoma lakini mpaka leo haijaingizwa kwenye account yangu. Kama hundi ya CRDB kwa CRDB inachukua three days, hundi kutoka benki nyingine huchukua siku ngapi. The bank that listen
Mzee hushangai Umejiunga 2007 hadi leo una status ya member ni suala la kawaida sana katika mfumo wa Kibenki na halikutakiwa kufunguliwa Thread.
 
Mzee hushangai Umejiunga 2007 hadi leo una status ya member ni suala la kawaida sana katika mfumo wa Kibenki na halikutakiwa kufunguliwa Thread.
Acha uongo bhana.... hakuna utaratibu huo wa kufanya confirmation siku tatu zote hizo wanaconfirm nini... kuna uzembe tu hapo tena mleta mada kasema ni cheque ya tawi jingine akimaanisha hiyo cheque ni ya CRDB ambayo kwa vyovyote vile haihitaji clearance... kama vitu huna uhakika navyo si bora ukae kimya tu kuliko kumpotosha na kumnanga mleta uzi kisa yeye anastatus ya member tu?
 
Ulivyokwenda kubank hukuuliza inachukua mda gani kuclear?
Soma mada umuelewe mleta uzi mkuu... hundi ni ya CRDB tawi jingine..haihitaji clearance ni confirmation tu...ambayo kiutaratibu haipaswi kuchukua hata lisaa limoja... ni uzembe tu umefanyika
 
Back
Top Bottom