Pamoja na mambo mengine,tatizo mie nadhani linasababishwa na aina ya wateja wa mabenki yetu.Watu wengi hufanya miamala mingi wakati fulani tu,kwa mfano mwisho wa mwezi,wakati wa kulipa ada za wanafunzi n.k...........sasa benki haiwezi kuajiri wafanyakazi wengi ili kuhudumia wateja wa msimu tu,ndio maana hesabu za `Queuing` hufanywa ili kukadiri idadi ya wafanyakazi inayoweza kuwahudumia wateja idadi fulani.
Yes kabla ya kutiwa kibiriti
Acha masikhara mkuu kwani imetiwa moto na hii??Yes kabla ya kutiwa kibiriti
Sijasikia! May beAcha masikhara mkuu kwani imetiwa moto na hii??
ha ha ha ha!siku nikisikia amekufa nitafueahi sana!!ananikwaza mno!!!!!Ungekutana na huduma ya mtoto wa kike wa Kimei aliyepo pale CRDB branch ya UDSM, nadhani ungeona huduma ya CRDB huko Katavi ni bora kabisa!
Sijasikia! May be
Tofauti na matawi mengine ya CRDB hapa hakuna dirisha special la watu wanaokuja ku-deposit hela zaidi ya millioni 10,matokeo yake foleni ni kubwa mno kwa ajili ya watu kusubili mtu mmoja au wawili wanao deposit mamilioni ya shilingi,mbaya zaidi kuna madirisha manne ya ma teller lakini yanayotoa huduma ni mawili tu,mmoja wa tatu kafungua kidogo kisha kafunga na kuweka kibao hakuna huduma,nilikuwepo mwenyewe leo hii na nadhani pia uzito wa wafanyakazi wa tawi ili unachangia huduma hafifu na foleni kubwa.
Ungekutana na huduma ya mtoto wa kike wa Kimei aliyepo pale CRDB branch ya UDSM, nadhani ungeona huduma ya CRDB huko Katavi ni bora kabisa!
Hawa CRDB foleni ni moja ya mikakati yao ya kistratejia