Kilole
Member
- Mar 7, 2022
- 54
- 131
Nawasalimu wote.
Uzi wangu wa leo utajikita kwenye ombi la maboresho kwenye hii Bank inayosimamiwa na ndugu Abdulmaji
Binafsi ni mteja wa hii Bank miaka mingi nimewavumilia kwenye kila kasoro ambayo nimekuwa nikikutana nayo nifuatapo huduma kwenye branch zao mbalimbali hapa nchini.
Kama tujuavyo uvumilivu una kikomo chake na mimi nimefika mwisho wa kuendelea kuwa mteja wa hii bank.
Nilibahatika kufika Crdb Kariakoo Branch leo asubuhi hii kutafuta huduma niliyoitaka kama mteja wao bila mafanikio zaidi ya kupoteza saa nzima mapokezi na mwisho nikaamua kuondoka na maamuzi yangu kujitoa kwenye hii bank.
Mapokezi Kariakoo Branch yupo bwana mdogo aliyekuwa anajitambulisha kwa jina la Michael Mkinga sambamba na maandishi yaliyokuwa yanasomeka kwenye beji yake.
Huyu bwana mdogo amejaa dharau,kiburi lakini kubwa amekosa customer care kabisa pale kwenye desk,ameweka foleni kubwa hsta ya kuuliza tu,hakai anazunguka tu na akisikika anapiga soga back office.
Sasa tukawa tunajiuliza Kuna sababu ya msingi hata pale mapokezi mtu asimame kwa zaidi ya saa nzima?hata kwa kutaka kuuliza tu?
Najua Abdulmajid huwa unatembelea humu ile branch yako ya Kariakoo wajitathimini vizuri huduma mbovu mtafukuza wateja wengi kwa uzembe unaoendelea pale.