CRDB kanda ya kati na wengine rekebisheni hili

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Kadi yangu imekwisha muda wake kwa maana hiyo siwezi chukulia ATM hadi nikachukulie ndani.

Nikawaomba ni renew kadi yangu wakaniambia hadi niende tawi nililofungulia.

Nikauliza kulilkoni si Tanzania ni moja? Wakaniambia kwenye tawi lako wanajua taarifa zako na ulipeleka pia barua ya mtaa.

Nikawaambia mbona nilikata NIDA nikiwa huku huku sikuambiwa niende Songea kwa mwenyekiti wangu wa mtaa na namba ninayo?

Nikawauliza mbona kwenye ku deposit au ku withdraw unachukulia popote nchini

Nahisi yule kijana ni mgeni kikazi ndio katoka chuo

Rekebisheni mnaumiza watu pesa ni ngumu na hii CORONA19 sio vyema kusafirisafiri
 
Back
Top Bottom