Kwa foleni sasa.....muda si mrefu itafanana na Nmb
Umesema wamekunyima mkopo eeeh........?........nyie CRDB nyie.......mjirekebishe..........japo sijui ni tawi la wapi.......
mimi huku kwangu Yaeda........mbona wateja tunapewa kahawa tukisubiri kwenye line.......?..........halafu wakaka wanatutabasamia huku wanatusaidia muamala..........
hama huko uje huku..............
Sina mpango wa kuomba ajira kwa mshahara gani anaoupata banker? Full njaa yawezekana hata wewe ulikwisha nipiga mzinga counter..msipojirekebisha mtapoteza wateja wengi.
Hivi juzi tu kazi za bankers zilikuwa zinafanywa za form six, kwani hazihitaji ujuzi wowote zaidi ya kujua kusoma, kuandika na kuhesabu, ndiyo mana hata misharaha yao mpaka leo bado ni midogo, tatizo la ajira ndiyo limesababisha wenye degree kuanza kufanya bankers
mnichukie au msinichukie huduma za kibank crdb kwa sasa ni mbovu kuliko hata nmb.miaka ya nyuma nakumbuka crdb ndio ilikuwa ikiongoza kwa huduma nzuri kwa wateja..na lugha safi kwa wateja huku nmb ikidharaulika kwa sasa nikinyume chake..nimepita branch nyingi kwa huduma za kibank kati ya crdb na nmb lakini naona kwa sasa nmb wananafuu..crdb hukiwa na shida wahudumu wanajivuta wanafanya kazi kwa kujisika majibu yao hovyo..ukipiga sim kitengo cha huduma kwa wateja nacho tabu tu.
Huwe na shida sasa ya kubadirisha kadi au kuomba huduma ya internet banking ndio tabu sasa alafu hukute inagoma wanavyokuzungusha kana kwamba unakwenda kumuona mgonjwa hospital au zile pesa si zako.
Upande wa mikopo nako tabu tena wanataka rushwa kana kwamba zile pesa hauzirudishi au wanakupa bure.
Sina mpango wa kuomba ajira kwa mshahara gani anaoupata banker? Full njaa yawezekana hata wewe ulikwisha nipiga mzinga counter..msipojirekebisha mtapoteza wateja wengi.