MNDEE
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 491
- 68
Hata mimi nadhani bado crdb ni bank nzuri sana, mumy go online utaenjoy...nadhani hayo ni mapungufu madogo madogo ya kufanyia kazi (housekeeping)
Mkuu na sisi tulikuwa tunaisifu CRDB kabla ya mikasa kutukuta. Hayo ya teller ni madogo, bank inadai kutoa huduma za kibenki cha ajabu ukihitaji hizo huduma usumbufu utakaopata utalazimika kwenda kutafuta hizo huduma kwingine.