mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Aug 5, 2013 #1 rais akiwa na mwanamuziki King Crazy GK ikulu katika futari ambayo rais aliwaalika wasanii mbalimbali.
rais akiwa na mwanamuziki King Crazy GK ikulu katika futari ambayo rais aliwaalika wasanii mbalimbali.
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,625 Reaction score 5,341 Aug 5, 2013 #2 wote wasanii sio mbaya...
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Aug 5, 2013 Thread starter #3 wanapeana tano
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,295 Reaction score 108,318 Aug 5, 2013 #4 JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!!
kimbangu Member Joined Mar 24, 2012 Posts 73 Reaction score 55 Aug 5, 2013 #5 Yan nimekkubali sana as GK z my best artist in bongo nimejikuta naisave kwenye cm yangu hii Picha
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Aug 5, 2013 #6 Kazi kweli kweli
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,248 Aug 5, 2013 #7 kagame huyo nyuma yako
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Aug 5, 2013 #8 watu8 said: JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!! Click to expand... Mtu aliyeruka steji utamjuwa tu....
watu8 said: JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!! Click to expand... Mtu aliyeruka steji utamjuwa tu....
makoye78 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 672 Reaction score 229 Aug 5, 2013 #9 Iundwe tume!
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,755 Aug 5, 2013 #10 jamaa hajafunga ilakagonga futari ya mkuu, wasanii wa lumumba wa buku saba vp hawajaenda
K Kinduki Member Joined Aug 4, 2013 Posts 18 Reaction score 2 Aug 5, 2013 #11 Mmhh!! Mbona kama gk kapungua sana au ndio mfungo.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Aug 5, 2013 #12 watu8 said: JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!! Click to expand... Teh teh teh tena ni vingi sana aisee....moja wapo ni la kutopiga picha...
watu8 said: JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!! Click to expand... Teh teh teh tena ni vingi sana aisee....moja wapo ni la kutopiga picha...
M Mama timmy JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 656 Reaction score 212 Aug 5, 2013 #13 Gk amepotelea wapi?
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,755 Aug 5, 2013 #14 makoye78 said: Iundwe tume! Click to expand... thread ilitakiwa kuwa aidha a} King crazy JK na GK au b]King crazy JK na King crazy GK
makoye78 said: Iundwe tume! Click to expand... thread ilitakiwa kuwa aidha a} King crazy JK na GK au b]King crazy JK na King crazy GK
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Aug 5, 2013 Thread starter #15 Mama timmy said: Gk amepotelea wapi? Click to expand... alikuwa chuo, akasimama kufanya muziki.
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 5, 2013 #16 Ritz1,alikuwepo hapo?????? naye si msanii Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Aug 5, 2013 #17 Yaani kila mtu anaenda ikulu isipokuwa mimi tu!
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Aug 5, 2013 #18 Leo ilikuwa zamu ya wasanii leo kula lkulu?
V Vonix JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 2,881 Reaction score 1,437 Aug 5, 2013 #19 watu8 said: JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!! Click to expand... Kweli mkuu raisi kupeana tano na msanii???ahaaa!!!NINYI Maccm ebu tuambieni hii ndio nini anavyofanya mwenyekiti wa chama chenu?????
watu8 said: JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!! Click to expand... Kweli mkuu raisi kupeana tano na msanii???ahaaa!!!NINYI Maccm ebu tuambieni hii ndio nini anavyofanya mwenyekiti wa chama chenu?????
INGENJA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 4,990 Reaction score 4,266 Aug 5, 2013 #20 jive shavu..!nice pic mzee anakubalika pote!?