Huku tukiwaona Moja ya wachezaji nguli duniani wakimaliza mda wao wa soka katika team zao za taifa,huku pia nyakat zao zikifikia ukingoni ,bila ya ushabik Kwa kuangalia takwimu zao na michango yao kwenye timu zao za taifa na klabu zao ,ww yupi unayeweza sema n mchezaj Bora wa mda wote na Kwa nin?