CPU ya Dell 380 inauzwa bei nafuu

CPU ya Dell 380 inauzwa bei nafuu

dadanga

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
63
Reaction score
47
CPU ya Dell 380 ,HDD 320, Ram 2 gb , processor Duo inauzwa 220,000, imetumika miezi mitatu tu inapatikana Katoro, Geita

Call 0716495945

IMG_20210606_104609_604.jpg
 
Hiyo Bei kubwa sana ukifika 50k nichek
 
Katoro huko unaweza kulipata chimba madini ukaliuzia hata 500k...we iwekee na kioo kabisa na uliambie hiyo ni TV na king'amuzi chake...unatunza na miziki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom