CPJ calls on Tanzania’s Magufuli to drop Kabendera charges, investigate Gwanda case

hawajatoa proof yeyote kuwa kaonewa.

We ulitaka proof gani waitoe? Mtz yeyote makini anazo proof za uonevu alofanyiwa Kabendera.....!
Kesi zote za uhujumu uchumi,kutakatisha fedha ni za kubambikiwa ili kuwanyamazisha wapi nzani na wakosoaji wa Jiwe. Kinachotokea Mahakamani kwa sasa ni ndoa haramu ya DPP na Wanaotuhumiwa kwa maana ya makubaliano FAKE ya KUBALI YAISHE....!
 
Back
Top Bottom