Inspire Consultants itaanza kutoa mafunzo ya CPA
1. Mafunzo yatafanyika WEEKEND NA JIONI (SIKU ZA KAZI).
2. Waalimu: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL EXPERIENCED STAFF
3. Venue: BIAFRA
4. Kuanzia: 11.1.2010
For more information contact 0713707375
Inspire Consultants itaanza kutoa mafunzo ya CPA
1. Mafunzo yatafanyika WEEKEND NA JIONI (SIKU ZA KAZI).
2. Waalimu: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL EXPERIENCED STAFF
3. Venue: BIAFRA
4. Kuanzia: 11.1.2010
For more information contact 0713707375
kama huyo kmweusi ndio mwalimu mwenyewe...siji.....Hapo Biafra kwenye Uwanja wa Mpira? Tunakuja na viti na Meza zetu?
Hapo Biafra kwenye Uwanja wa Mpira? Tunakuja na viti na Meza zetu?
Na jezi na mpira labda...CPA(T) Ndio nini kwanza?
kama huyo kmweusi ndio mwalimu mwenyewe...siji.....
Na jezi na mpira labda...CPA(T) Ndio nini kwanza?
Ingawa umeanza kukejeli,haijalishi elimu lazima itolewe kwa wajinga wote duniani!CPA(T)=Certified Public Accountant in Tanzania,hiki ni kiwango katika profession ya uhasibu ambapo mhasibu akifikia kiwango hii maana yake amekubalika kufanya shughuli za kihasibu katika taifa husika.Hatua hii hufikiwa kwa kufanya mitihani ili kupima uwezo wa mwanafunzi kabla ya kumpa kibali cha kufanya shughuli za kihasibu!!Kampuni ya kupika vyakula (I guess)
Mwaka huu ukitaka vitabu ni-PM
Ingawa umeanza kukejeli,haijalishi elimu lazima itolewe kwa wajinga wote duniani!CPA(T)=Certified Public Accountant in Tanzania,hiki ni kiwango katika profession ya uhasibu ambapo mhasibu akifikia kiwango hii maana yake amekubalika kufanya shughuli za kihasibu katika taifa husika.Hatua hii hufikiwa kwa kufanya mitihani ili kupima uwezo wa mwanafunzi kabla ya kumpa kibali cha kufanya shughuli za kihasibu!!