asante sana mkuu, nishaenda leo kumuona rashid, tushayajenga, hope j4 ntaanza rasmiNzuri Mkuu, karibu kwenye hii field. Walimu wazuri wa hayo masomo na wazoefu ni Leonce au maarufu Babito yupo pale Mnazi Mmoja Primary school au Uende Ilala Boma Shule ya msingi kwa Rashid hao wote ni walimu wazuri utachagua mwenyewe. Pia unaweza kwenda Kwa Mkaro pale Mtendeni Shule ya msingi Covenant. Wengine watakuja kuchangia, kila la kher ktk maandalizi ma mitihani pia.
thanks, nimeonana nae leo, na tushayajengaHuyo jamaa anaitwa Rashid ni hatari nilisoma notes zake tu za maswali na Majibu za financial accounting nikafaulu je ningeuzulia pindi zake??
Mtafute RASHID ndugu yuko vizuri sana.
Alafu mitihani inaanza mwishoni wa mwezi wa kumi sio kumi na moja.
Habari za Jumapili wanajamii, mimi ni mhitimu wa bachelor degree ya accounting nataka nijiunge na tuition center yani cpa review classes hapa DAR ES SALAAM ila sijajua ni mahali gani pako vizuri kielimu na kigharama pia, HASA MASOMO mawili FINANCIAL ACCOUNTING na PUBLIC FINANCE AND TAXATION. Kwa yeyote anaefahamu naomba aniambie ili nianze mapema maana natarajia kufanya mtihani mwezi wa 11. karibuni wadau wa elimu. NATANGULIZA SHUKURANI
Hbaari Katichi,Huyo jamaa anaitwa Rashid ni hatari nilisoma notes zake tu za maswali na Majibu za financial accounting nikafaulu je ningeuzulia pindi zake??
Mtafute RASHID ndugu yuko vizuri sana.
Alafu mitihani inaanza mwishoni wa mwezi wa kumi sio kumi na moja.