Mkuu sio vitengo vyote utalipwa Kutokana na unachozalisha kwenye company. Sasa accountant atazalisha nn kwa mfano zaidi ya kutunza na Kuandaa mahesabu?Jaribu kuomba kupitia secretariate ya ajira,huku private sector wanaangalia uwezo wako wa kuzalisha vitu na kutengeneza faida.Wanasema profit first....vyeti baadaye.
Kuna kampuni ziko sensitive mkuu, zinakuuliza tupe faida ya uwepo wako, kampuni itanufaika na nini....na kama wewe hautakuwepo kampuni itaathirika vipiMkuu sio vitengo vyote utalipwa Kutokana na unachozalisha kwenye company. Sasa accountant atazalisha nn kwa mfano zaidi ya kutunza na Kuandaa mahesabu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kampuni ambayo haipo sensitive na operations zake unless inalaundry dirty money. Bt nao pia uwa sensitive kumake sure hawakamatwi kizembe.Kuna kampuni ziko sensitive mkuu, zinakuuliza tupe faida ya uwepo wako, kampuni itanufaika na nini....na kama wewe hautakuwepo kampuni itaathirika vipi
Endelea kuapply Kazi kwa njia zote unazoweza usikate tamaa. Pia jiregiste kwenye hizi recruitment agencies awa Jamaa wanatumiwa na makampuni mengi kuwafanyia recruitmentsHello, hope your great.
Am urgently lookig for a job, i have a bachelor degree of commerce in accounting and professionally am a CPA T. I have 2 years working experience in accounting and auditing.
Please contact through dm if interested.
Sincerely,
Shule e. (Female)
Sent using Jamii Forums mobile app