Covid -19 Memes

Check na hizi ,Lazima tujifurahishe wakati mwingine na mambo yanayotrend
 
Mambo ya social distance,
Jinsi ya kuweza kufanya kazi toka nyumbani ni kumuwekea fence mtoto
 
Jinsi mipango ya mwisho wa mwaka jana 2019 na matarajio mwaka huu 2020

Hapa watu wanapigania survival
 
Mpaka majambazi ndani ya lockdown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…