Tunamwomba Rais Magufuli aitoe Tanzania WHO maana sasa inaonekana wamekuwa wakala wa Mabeberu
Kwa nchi za kiafrika ni ngumu sana kujitoa maana karibu kwa kila kitu bado tunawategemea wazungu ikiwemo Technology.Organs zote za umoja wa mataifa ni ukoloni mamboleo wa mabeberu kwa mataifa ya afrika
Naona Burundi mwaka jana walijitoa The Hague
Sent using Jamii Forums mobile app