CoverLetter/Motivational Letter

alafu acha ujinga kaka ,sasa hapo una sababu gani ya kuitusi Tanzania nzima ?kila kitu poor tanzania ....utakuta mtu mwenyewe unaeandika huu upumbavu huna lolote afadhali hata ya huyu unaemtolea povu hapa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wana stress za maisha jamani
 
Dhumuni la jukwaa hili pendwa kusaidiana zaidi kwenye masuala ya ajira sasa mtu anavyohitaji kusaidiwa alafu anaanza kushambuliwa na maneno makali inakuwa sio powa kama unampa makavu basi jitaidi umsaidie kupata solution mana hakuna mkilifu chini ya jua ndio mana tukaitwa binadamu
 
Hapa lazima uelewe tu kuna watu mbalimbali wengine wana lugha chafu mno
 
Umenena
 
alafu acha ujinga kaka ,sasa hapo una sababu gani ya kuitusi Tanzania nzima ?kila kitu poor tanzania ....utakuta mtu mwenyewe unaeandika huu upumbavu huna lolote afadhali hata ya huyu unaemtolea povu hapa,
Poor Tz ndio. Huyu anawakilisha asilimia kubwa ya wahitimu wa Tz. So sijasema poor tz bahati mbaya. Ndio hali halisi hutaki Hana nchi.
 
Mkuu hebu tuna moja ya barua yako tuiangalie then ndo tunaweza kukusaidia kimawazo kama shida ni uandishi au ndo hivyo wenye mpini wanakazia....
 
Kuna tofauti gan kati ya application letter na coverletter?
Mkuu kwa jinsi nilivyosoma naweza kusema vyote vinalengo moja ya kukufanya ww upate ajira katika sehemu unayoomba ingawa zinamajina tofauti lakini all in all wanalenga sehemu moja. Ndo maana hakuna sehemu wanakulimit uandike cover letter au application letter coz ukisoma tofauti zao hazipishani sana. Ukitaka kuelewa zaidi ingia google utasoma vizur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…