Cover za laptop na sim

Cover za laptop na sim

Wakuchanja

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
82
Reaction score
54
Salama wakuu
Ninawazo la kuanzisha biashara ya kuprint macover ya sim na laptop
Mwenye uwelewa vifaa vinavyo hitajika na printer ya aina gani na kias gan inauzwa anisaidie
Inst-image-12.jpg
 
wazo zuri ila kichwa kimekaa vby, mi nkajua biashara ishaanza tyr! niagize cover langu.
 
Nitakuja na uzi wa biashara wakuu bado nafanya tafit kwanza
 
Back
Top Bottom