Great! This is what dictors deserve. Na ana bahati, hukumu ya juu kabisa ya Mahakama ya The Hague ni kifungo cha maisha vinginevyo yatamkuta ya akina Sadam. Namshauri asipoteze muda, ajisalimishe mwenyewe ili anufaike na hukumu laini ya mahakama hiyo. Alidhani alivyompokea kama shujaa kwa nderemo na sherehe yule gaidi aliyelipua ndege huko Lockerbie wenzake walifurahia? Hayo ndiyo majibu yake.