Kijana wangu wa Kike Ana D- 5, C- 2 na F ya Math na Physics. Naomba Kujua Ni Kozi gani Anaweza Kusoma Maana Ana D ya chemistry na Biology. Na Ni Chuo gani Hapa Dar anaweza Kusoma kwa Ada Nafuu.
Mkuu, hakuna kozi ya afya atapata kwa sheria zilizopo.Kijana wangu wa Kike Ana D- 5, C- 2 na F ya Math na Physics. Naomba Kujua Ni Kozi gani Anaweza Kusoma Maana Ana D ya chemistry na Biology. Na Ni Chuo gani Hapa Dar anaweza Kusoma kwa Ada Nafuu.
Kijana wangu wa Kike Ana D- 5, C- 2 na F ya Math na Physics. Naomba Kujua Ni Kozi gani Anaweza Kusoma Maana Ana D ya chemistry na Biology. Na Ni Chuo gani Hapa Dar anaweza Kusoma kwa Ada Nafuu.
Anataka aombe government au private?Mie mdogo wangu form six.
Amepata D ya Geograph, E ya Chemistry, E ya Biology.
Kwa form four masomo yote kafaulu kasoro Math kapiga F.
Naomba kujua course ya Diploma za Afya anazoweza kusoma kwa ngazi ya Diploma.
Je Aplication ipi ni nzur zaid ya kuomba Chuo.
A) kuapply online Nacte
B) kuapply chuon moja kwa moja
Mwenye uzoefu na hili anisaidie
Mkuu, hakuna kozi ya afya atapata kwa sheria zilizopo.
Labda Kama atasomea kufanya usafi au kuuza dawa.(ado)
Je Alisoma physics O level na kama ndio alipata alama zipi, ikiwa hakusoma physics Sahau kozi ya afyaMie mdogo wangu form six.
Amepata D ya Geograph, E ya Chemistry, E ya Biology.
Kwa form four masomo yote kafaulu kasoro Math kapiga F.
Naomba kujua course ya Diploma za Afya anazoweza kusoma kwa ngazi ya Diploma.
Je Aplication ipi ni nzur zaid ya kuomba Chuo.
A) kuapply online Nacte
B) kuapply chuon moja kwa moja
Mwenye uzoefu na hili anisaidie
clinical medicine COMie mdogo wangu form six.
Amepata D ya Geograph, E ya Chemistry, E ya Biology.
Kwa form four masomo yote kafaulu kasoro Math kapiga F.
Naomba kujua course ya Diploma za Afya anazoweza kusoma kwa ngazi ya Diploma.
Je Aplication ipi ni nzur zaid ya kuomba Chuo.
A) kuapply online Nacte
B) kuapply chuon moja kwa moja
Mwenye uzoefu na hili anisaidie
Saivi wanataka sifa zipi kwa kada ya afya mkuu?clinical medicine CO
Vp mkuu sasa wanataka sifa zipi kada ya afya ?Je Alisoma physics O level na kama ndio alipata alama zipi, ikiwa hakusoma physics Sahau kozi ya afya
Advance hawaangalii sana
Vp mkuu sasa wanataka sifa zipi kada ya afya ?
Duh 2006 mkuu si ushaota mvi saivinina D biology, B chemistry na C physics,C maths,C English na C zote zilizobaki kasoro Geography nina D.. nimemaliza form four 2006 naweza kupata nursing government wadau?
Mathe vipii..?Kama huna/ hana
Physics -D
Chemistry- D
Biology- D
Usijaribu/asijaribu hata kulipa shilingi kumi ya ada ya maombi ya usaili NACTE.
Mathe vipii..?
Math na English ni nyongeza tu katika vigezo vya kupewa kipaumbele katika usaili (uwe umepata angalau D) ila kiufupi haziathiri VIGEZO MUHIMU ambavyo ni (phy,chem,B)-D