great dream
Member
- May 15, 2024
- 8
- 14
Naomba mnisaidie kunielewesha kuhusu hii course, na maeneo gani unaweza kuajiriwa baada ya kuhitimu?
Ugavi, store keeper.Naomba mnisaidie kunielewesha kuhusu hii course, na maeneo gani unaweza kuajiriwa baada ya kuhitimu?
Hapo n manunuz na usambazaji makampun yapo meng ila aslimia kubwa wamejazana ndug kwa ndug kama unahata ndug mweny kampun bx fanya mambo unayoweza kufanya kwa sasa hyo omba MunguNaomba mnisaidie kunielewesha kuhusu hii course, na maeneo gani unaweza kuajiriwa baada ya kuhitimu?