Samahani wakuu naomba msaada kwa yeyote anayeielewa course ya Bachelor of arts in anthropology,misingi yake na hatima yake baada ya kuisoma unaweza kuja kuwa nani?

Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 10,000 tu. 0769 524 022.

Hizi njaa hizi..yani mtu kushauri kuhusu hiyo kozi unataka hela usawa huu ulivyo mgumu..we msaidie tu dogo akasome maisha yake yaendelee...acha njaa mkuu.