ndoroma ndoroma
Member
- Dec 8, 2017
- 19
- 2
Samahani...nauliza course gani nzuri unayoweza kunishauri kusoma chuo Kwa mchepuo wa HGE na ili nisiweze kupata tabu kwenye ajira
Wewe mwenyeo kwanza ulikiwa na mapendeleo yakusomea kitu gani?Samahani...nauliza course gani nzuri unayoweza kunishauri kusoma chuo Kwa mchepuo wa HGE na ili nisiweze kupata tabu kwenye ajira
Ajira ni connection tuu,,, na ufanisi wako,,, kuwa mahili na kitu ulichosomea ,,la sivyo utapata tabuu sana hata usome koz ganSamahani...nauliza course gani nzuri unayoweza kunishauri kusoma chuo Kwa mchepuo wa HGE na ili nisiweze kupata tabu kwenye ajira
Multmedia technologySamahani...nauliza course gani nzuri unayoweza kunishauri kusoma chuo Kwa mchepuo wa HGE na ili nisiweze kupata tabu kwenye ajira
kwahyo unamshaur akasome tax eti kisa jamaa ako alisoma!...its dumbKasome Taxation kuna jamaa yangu alisoma hiyo sasahivi yupo TRA anakula maisha.
Nimemshauri kwasababu hiyo coz inatolewa na vyuo viwili tu hapa Tanzania na demand yake ni kubwa isitoshe anaweza kujiajiri mwenyewe akapiga mpunga wa maana. Nazani umenielewa mkuu.kwahyo unamshaur akasome tax eti kisa jamaa ako alisoma!...its dumb
Wewe mwenyeo kwanza ulikiwa na mapendeleo yakusomea kitu gani?
"Usipate tabu kwenye ajira" ukiwa unamaanisha nini?
Nimemshauri kwasababu hiyo coz inatolewa na vyuo viwili tu hapa Tanzania na demand yake ni kubwa isitoshe anaweza kujiajiri mwenyewe akapiga mpunga wa maana. Nazani umenielewa mkuu.
kwahyo unamshaur akasome tax eti kisa jamaa ako alisoma!...its dumb
Toa hilo neno ajira hapo. Hamna kozi yenye uhakika wa ajira kipindi hiki hata MD tupo nao mtaani.
Kwa HGE Agricultural economics and agribusiness ni nzuri . Inakupa added value ya tofauti na wale wanaopiga economics ya kawaida
Kwa UDSM hii programu lazima uwe una Math Advanced. Sina hakika UDOM.BA economic and statistics,