Course ipi ni bora kwa aliyesoma CBG?

Pharmacy wanabania mkuu sidhani kama wanaruhusa kwa ngazi ya degree labda aanzie diploma
Wanapata Mzee, Kikubwa mtu afaulu tu...na aombe TCU

Vyuo viko vingi vinavyotoa Degree ya Pharm, nina ushahidi wa watu waliosoma CBG na wakasomea Degree Bugando.
 
Unasoma vizuri sana, kuna rafiki angu yupo anasoma st john na amesoma cbg 2015. Mimi pia nimesoma cbg na sasa nipo kcmc pursuing very important kozi
Huu ndo ukweli ndugu. Mwanzisha uzi inabidi afikirie hizi Kozi.
 
Back
Top Bottom